Duka la Mtandaoni
Nunua moja kwa moja kutoka kiwandani.
Chagua kununua kipande kimoja (rejareja) au katoni nzima kwa bei ya punguzo.
Sabuni ya Mche ya Kufulia
RABA ONE SUPER WASH
Gramu 800
TSh 3,500

Sabuni ya Maji ya Vyombo
RABA ONE Liquid ya Vyombo
Lita 5
TSh 6,000
Sabuni ya Kuogea ya Asili
RABA ONE OGEA
Gramu 100
TSh 2,500

Sabuni ya Usafi wa Viwandani
RABA ONE TILE Cleaner
Lita 5
TSh 7,500