RABA ONEFEEL FREE WITH IT
← Duka
RABA ONE TILE Cleaner

Sabuni ya Usafi wa Viwandani

RABA ONE TILE Cleaner

Kipimo: Lita 5

Sabuni yenye nguvu kwa sakafu, karakana, viwanda na maeneo ya biashara yenye uchafu mzito.

1

Faida Kuu

  • Huondoa grisi na mafuta ya mashine
  • Huua vijidudu
  • Kwa sakafu na vifaa
  • Inaokoa gharama

Viungo & Sifa

  • Degreasers maalum
  • Disinfectant
  • Surfactants
  • Harufu ya pine

Jinsi ya Kutumia

  1. Changanya kikombe 1 kwenye lita 10 za maji
  2. Deki au sugua eneo
  3. Suuza kwa maji