
Sabuni ya Maji ya Vyombo
RABA ONE Liquid ya Vyombo
Kipimo: Lita 5
Sabuni ya maji iliyokolea inayoondoa mafuta kwa haraka na kuacha vyombo vikiwa safi na vinavyong'aa.
1
Faida Kuu
- Imekolea – kidogo kinatosha
- Huondoa mafuta mazito
- Laini kwa mikono
- Inafaa migahawa na hoteli
Viungo & Sifa
- Surfactants zinazooza kwa urahisi
- Aloe vera
- Chumvi ya kuimarisha
- Harufu ya limau
Jinsi ya Kutumia
- Changanya kijiko kimoja kwenye lita 1 ya maji
- Osha vyombo kwa sponji
- Suuza kwa maji safi