Sabuni ya Kuogea ya Asili
RABA ONE OGEA
Kipimo: Gramu 100
Sabuni ya asili iliyotengenezwa kwa mafuta ya nazi na aloe vera, inayolainisha na kulinda ngozi.
Okoa TSh 36,000 ukinunua katoni. Oda ya katoni 10+? Omba bei ya jumla.
1
Faida Kuu
- Hulainisha na kurutubisha ngozi
- Haina kemikali kali
- Inafaa ngozi nyeti
- Harufu ya asili
Viungo & Sifa
- Mafuta ya nazi
- Aloe vera asilia
- Siagi ya shea
- Glycerin
Jinsi ya Kutumia
- Lowanisha mwili
- Paka sabuni na upate povu
- Suuza kwa maji safi