Kuhusu Sisi
Tunaamini usafi ni haki ya kila mtu.
RABA ONE ni kampuni ya Kitanzania inayozalisha na kusambaza sabuni bora kwa bei nafuu, pamoja na mashine za kutengeneza sabuni.
Dira Yetu
Kuwa mzalishaji kinara wa bidhaa za usafi Afrika Mashariki.
Dhamira Yetu
Kuzalisha sabuni salama, bora na nafuu, huku tukiwawezesha wajasiriamali kupitia uwakala na mashine.
Maadili
Ubora, uaminifu, ubunifu na kumjali mteja katika kila tunachofanya.