RABA ONEFEEL FREE WITH IT
← Duka
RABA ONE SUPER WASH

Sabuni ya Mche ya Kufulia

RABA ONE SUPER WASH

Kipimo: Gramu 800

Mche imara unaodumu muda mrefu, wenye povu jingi na nguvu ya kuondoa madoa sugu bila kuharibu rangi ya nguo.

Okoa TSh 12,500 ukinunua katoni. Oda ya katoni 10+? Omba bei ya jumla.

1

Faida Kuu

  • Huondoa madoa ya mafuta, udongo na jasho
  • Hudumu muda mrefu – haiyeyuki haraka
  • Salama kwa rangi za nguo
  • Harufu safi inayodumu

Viungo & Sifa

  • Mafuta ya mawese yaliyosafishwa
  • Sodium hydroxide (kwa kiwango kilichodhibitiwa)
  • Glycerin asilia
  • Manukato salama

Jinsi ya Kutumia

  1. Lowanisha nguo kwa maji safi
  2. Sugua mche moja kwa moja kwenye sehemu yenye doa
  3. Fikicha kwa dakika 1-5
  4. Suuza kwa maji safi na uwanike